×

Uongozi Katika Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake

SHEMEJI NA MIPAKA YAKE YA KISHERIA NDANI YA UISLAMU - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia misingi na mipaka ya shemeji kataka sheria ya uislam

KUITUMIKIA DINI - (Kiswahili)

MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.

NDOTO NJEMA - (Kiswahili)

NDOTO NJEMA

Al-Hafiidh – Mhifadhi Aliyetakasika - (Kiswahili)

Al-Hafiidh – Mhifadhi Aliyetakasika

Khutba Ya Iddil: Lini Tutapata Ushindi - (Kiswahili)

Khutba hii inazungumzia lini tutapata ushindi na sababu za kupata ushindi,na mambo ambayo yanayo ziwiya ushindi.

DUA - (Kiswahili)

DUA

100 suali na jawabu katika Aqida ya Tawhidi - (Kiswahili)

KITABU HICHI KIMEFANYIWA TARJAMA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU VHA MADINA WANAOTOKEA KATIKA NCHI YA TANZANIA. NA IKAPITIWA TARJAMA HIYO NA DR SALIM KARARI AMBAYE NI CHA MHITIMU WA KITIVO CHA DAAWA NA ASILI NI MKENYA. NA LENGO NI KUNUFAIKA WALE WENYE KUZUNGUMZA LUGHA YA KISWAHILI ILI WAFIKIE....

Nini wafanye waislam ikiwa kiongozi wao ni kafiri ? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.

Da’awa Ya Haqi Inapiga Vita Makundi Ya Kisiasa,Naubaguzi - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.