×

Kulingania Ktk Lailaha Illa Allah - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia ubora wa kulingania ktk njia ya mwenyezi mungu na malipo ya atakae kufa akiwa na lailaha illa allah.

Umuhimu Wa Tawhidi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa tamko la twuhiid (Lailaha Illa Allah),na lengo la kuumbwa kwetu, na aya zilizo bainisha lengo la kuumbwa kwetu,na sababu ya kutumwa mitume,na maana ya twaghuti,na malipo ya atakae kufa na tawhiidi ya (Lailaha Illa Allah).

Msimamo Wa Uislam Kuhusu Kujiripua - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua.

Ujumbe mmoja - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.

Mambo Ya Msingi Ambayo Haitakikani Kwa Watoto Wa Kiislamu Kuto Yajua - (Kiswahili)

Mambo Ya Msingi Ambayo Haitakikani Kwa Watoto Wa Kiislamu Kuto Yajua

MFULULIZO WA MAKALA JUU YA KULINDA TAUHIDI - (Kiswahili)

MFULULIZO WA MAKALA JUU YA KULINDA TAUHIDI

Itikadi Dahihi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia itikadi sahihi ya mwislam ambayo anatakiwa kila muislam kuifuata,pia itikadi ambayo mwislam hatakiwa kuifuata kama itikadi za kishia na itikadi za kinaswara.

SHARTI ZA SWALA NA NGUZO ZAKE NA WAJIBU WAKE - (Kiswahili)

SHARTI ZA SWALA NA NGUZO ZAKE NA WAJIBU WAKE

Riyaadh Swalihiin - (Kiswahili)

Kitabu Riyaadhu Swalihin kimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili, kimeandikwa na Imam Yahya Bin sharaf An Nawawy kutoka Damaskas, amekusanya katika kitabu hiki hadithi sahiihi za mtume Muhamad rehma na amani ziwe juu yake, na hadithi zimeeleza mambo yote ya itikadi, na maisha ,amezileta hadithi kwa mpangilio wa milango na vifungu,....

Maombi kutoka kwenye Qur'ani na Sunna - (Kiswahili)

Maombi kutoka kwenye Qur'ani na Sunna

NAMNA YA KUSALI - (Kiswahili)

NAMNA YA KUSALI

Namna ya kuswali - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia namna ya kuswali mwanzo mpaka mwisho,na maneno yakusema wakati wa kuswali.na adhkari baada ya swala.