HAMZA RAJABU SEYFU
                                    Sheikh Hamza Rajabu Seyfu
  ni mmoja katika walinganiaji wa mji wa Mwanza nchini Tanzania kamaliza chuo kikuu nchini Saudi arabia kitengo cha Sheria (Usuluddin) ni Imamu na khatwibu katika masjid Taqwa jijini Mwanza yupo katika manhadi ya salafu sswaleh.
                                
                                
